• HABARI MPYA

    Thursday, August 01, 2013

    OWINO AKIMWAGA WINO 'LIVE' SIMBA NA KUSHIKISHWA UZI WA MNYAMA

    IMEWEKWA AGOSTI 1, 2013 SAA 8:40 MCHANA
    Beki wa kimataifa wa Uganda, Joseph Owino (katikati) akikabidhiwa jezi ya Simba SC leo baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo. Anayemkabidhi jezi kushoto ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang'are 'Kinesi' na kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Pamba. 

    Dole gumba; Owino akitia dole gumba kwenye fomu za usajili baada ya kusaini

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: OWINO AKIMWAGA WINO 'LIVE' SIMBA NA KUSHIKISHWA UZI WA MNYAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top