• HABARI MPYA

    Thursday, August 01, 2013

    SIMBA SC YASAINI WAWILI WENGINE LEO, NI HUMUD GAUCHO NA BEKI HATARI LA AJABALO

    IMEWEKWA AGOSTI 1, 2013 SAA 1:10 USIKU
    Kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho'(katikati) akisaini Mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC leo, baada ya kufuzu majaribio, Wengine kushoto ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Joseph Itang'are 'Kinesi' na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Pamba. Humud aliuzwa na Azam Jomo Cosmos ya Afrika Kusini, lakini akaamua kuachana naypo na kwenda kujaribiwa Simba SC.
    Beki wa kati, Rahim Juma wa Abajalo ya Sinza akisaini Mkataba wa miaka miwili na Simba SC, baada ya kufuzu majaribio 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC YASAINI WAWILI WENGINE LEO, NI HUMUD GAUCHO NA BEKI HATARI LA AJABALO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top