IMEWEKWA SEPTEMBA 12, 2013 SAA 5:51 USIKU
NYOTA mpya wa Real Madrid, Gareth Bale ameanza mazoezi rasmi leo na kukutana na mchezaji nyota zaidi wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo.
Mchezaji huyo ghali mpya duiniani, aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 86 alitua Jumatano, lakini leo akasimama mbele ya kamera kufanya tangazo la jezi mpya ya tatu ya klabu hiyo ya rangi ya chungwa.
Bale alijipanga pamoja na Karim Benzema na Marcelo wakati adidas wakichukua fursa ya kumtumia katika tangazo lao la biashara Galatico mpya.
Mkataba wa Pauni Milioni 30 kwa mwaka na Real Madrid umesaidia klabu hiyo ya Hispania kuvunja rekodi ya usajili duniani kwa mara ya tano kwa usajili wa Bale.
Mkataba wa Pauni Milioni 30 kwa mwaka na Real Madrid umesaidia klabu hiyo ya Hispania kuvunja rekodi ya usajili duniani kwa mara ya tano kwa usajili wa Bale.
VIDEO Kaangalie Bale na Ronaldo wakifanya mazoezi pamoja kwa mara ya kwanza
Curtain call: Gareth Bale emerges in Rea Madrid's new orange third kit
His future's bright: Gareth Bale at the launch of the new Real Madrid orange third kit
On the mic: Bale (right) talks as Marcelo tries to sort out Karim Benzema's hair
Chasing shadows: Real's three players behind a screen - can you guess who's who?
All for one: Real's three musketeers Marcelo (left), Benzema (centre) and Bale
On the ball: Marcelo (left), Karim Benzema (centre) and Bale share a smile
Like a blur: Gareth Bale warms up at Madrid training
Putting in the hard yards: Bale starts off on a sprint
Team-mates reunited: Gareth Bale with Luka Modric at Real Madrid training on Thursday
Man in charge: Bale speaking to his new Real Madrid boss Carlo Ancelotti
Deadly duo: Bale doing some stretching in front of Ronaldo
Current king: Ronaldo was also on the training ground in Madrid
New surroundings: Bale was out in Madrid on the first evening after training
Clean living: Bale leaving his hotel in Madrid for training on Thursday, still holding his washbag