• HABARI MPYA

    Friday, September 13, 2013

    RONALDO AMFANYA KITU MBAYA BALE KATIKA SIKU YA TATU TU MAZOEZINI REAL MADRID

    IMEWEKWA SEPTEMBA 13, 2013 SAA 9:43 ALASIRI
    AKIWA amepoteza heshima yake ya mwanasoka ghali duniani kwa Gareth Bale, wazi Cristiano Ronaldo atapenda kumuonyesha mchezaji mwenzake huyo mpya Real Madrid nani ni babu kubwa Bernabeu.
    Katika siku ya tatu tu ya mazoezi yake kamili klabu hiyo mpya, Bale tangu ajiunge nayo kutoka Tottenham kwa Pauni Milioni 86, alijikuta akipitiwa kwanja na nyota huyo wa zamani wa Manchester United ambaye bila shaka alitaka kumuonyesha 'mchawi huyo wa Wales' kwamba si kazi rahisi kuwa mkali Real.
    Pia Pepe alionekana kuchekelea wakati akiangalia Mreno mwenzake, Ronaldo akimtenda kitu Bale kwa kumrukia kwenye kifundo cha mguu.
     VIDEO  Kaangalie Ronaldo alivyomvaa Bale
    That's just for starters: Cristiano Ronaldo looks up at Gareth Bale after making a sliding challenge
    Cheki kitu hicho: Cristiano Ronaldo akimpitia miguuni Gareth Bale
    Incoming: Ronaldo decides to launch into a slide tackle on Bale
    Anamfuata: Ronaldo akimrukia Bale
    Locked on: Ronaldo's boot is studs up but grounded as he homes in on Bale
    Mguu umefika: Ronaldo akipeleka mguu wake kupitia mpira miguuni mwa Bale
    Direct hit: Bale feels the full force as Ronaldo slides through his ankle
    Maumivu: Bale akipewa kitu na Ronaldo 
    Bale alionekana kuwa sawa tu baada ya kitendo hicho, lakini hakuonekana kuwa mwenye furaha baada ya hapo.
    Ronaldo alikuwa anashikilia rekodi ya mchezaji ghali wa dunia wa awali kwa Pauni 80 alizonunuliwa kutoka Manchester United mwaka 2009 na kwa picha hizi inaweza kuchukuliwa kama ni wivu wake kwa mchezaji mwenzake mpya Bernabeu.
    Leave your foot in: Ronaldo and Bale contest a loose ball as Zinedine Zidane (right) looks on
    Zizou alishuhudia: Ronaldo na Bale wakigombea mpira huku kocha Msaidizi, Zinedine Zidane (kulia) akiangalia
    Evasive action: Bale skips Ronaldo's challenge on this occasion
    Bale na Ronaldo
    Backing out: Ronaldo stands his ground as he wins the duel
    Ronaldo akimuonyesha Bale
    Go easy! Ronaldo appears to question a point made by Bale
    Ronaldo alianza kwa mazungumzo na Bale
    There's more where that came from: Ronaldo chats to Bale in training
    No hard feelings: Ronaldo smiles at Bale and gives him the thumbs up
    Ronaldo akifurahia na Bale na kumpa dole
    On the same page: Ronaldo seemed more appreciative of Bale's former Spurs team-mate, Luka Modric
    Ronaldo akicheza na mchezaji mwenzake zamani Bale Spurs, Luka Modric
    Point in the right direction: Ronaldo and Modric share a joke in training as Bale looks on
    Ronaldo akitaniana na Modric pembeni ya Bale
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RONALDO AMFANYA KITU MBAYA BALE KATIKA SIKU YA TATU TU MAZOEZINI REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top