• HABARI MPYA

    Friday, September 13, 2013

    'YOUNG DON' NGASSA TAYARI YUKO MBEYA NA YANGA YAKE

    IMEWEKWA SEPTEMBA 13, 2013 SAA 12:51 JIONI
    Mrisho Ngassa akiwa na Mbuyu Twite jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Mbeya City kwenye Uwanja huo. Ngassa amewasili jioni hii kuungana na wenzake kutoka Mwanza alipokwenda kwa mazishi ya bibi ya bibi yake mzaa baba. Hata hivyo, Ngassa hatacheza mechi hiyo kwa sababu bado anatumikia adhabu ya kufungiwa mechi sita . 

    Ngassa Sokoine

    Ngassa kwenye ndege kuelekea Mbeya

    Shabiki huyu wa soka aliomba kupiga picha na Ngassa Uwanja wa ndege wa Mwanza

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: 'YOUNG DON' NGASSA TAYARI YUKO MBEYA NA YANGA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top