TIMU ya Manchester City imefunga bao la 100 katika mashindano yote msimu huu, baada ya Edin Dzeko kufunga bao la kwanza Uwanja wa Etihad katika mchezo unaoendelea dhidi ya Cardiff.
Nyota huyo wa Bosnian hilo linakuwa bao lake la 16 msimu huu, wakati Negredo amefunga 21 na Aguero 20, hao wakiwa wafungaji bora wa City.
Mzigo mzima: Edin Dzeko akishangilia baada ya kuifungia bao la 100 Manchester City dhidi ya Cardiff jioni hii na chini na namna alivyofunga
MAN CITY ILIVYOTIMIZA MABAO 100 MSIMU HUU
BAO TAREHE DAKIKA MFUNGAJI WAPINZANI
La 1 19/08/2013 6 Silva Newcastle United Nyumbani
La 10 17/09/2013 53 Yaya Toure Viktoria Plzen Ugenini
La 25 05/10/2013 45 Aguero Everton Nyumbani
La 50 24/11/2013 50 Aguero Tottenham Hotspur Nyumbanj
La 75 17/12/2013 53 Dzeko Leicester City Ugenini
La 10 17/09/2013 53 Yaya Toure Viktoria Plzen Ugenini
La 25 05/10/2013 45 Aguero Everton Nyumbani
La 50 24/11/2013 50 Aguero Tottenham Hotspur Nyumbanj
La 75 17/12/2013 53 Dzeko Leicester City Ugenini
0 comments:
Post a Comment