MANYIKA SHAVU DODO OMAN... WAARABU WANAMKUBALI ILE MBAYA
Kipa wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Manyika Peter yuko Oman akiifundisha klabu ya Seeb kama kocha wa makipa. Manyika anafanya kazi nzuri ambayo inakubalika na wenye timu yao. Ubora wa makipa wa Seeb ulionekana jana ilipolazimisha sare ya bila kufungana na Coastal Union ya Tanzania Bara.
Manyika akipanga vifaa vya kazi Uwanja wa Seeb jana
Manyika akiwanoa makipa wa Seeb jana kabla ya mechi na Coastal Union Uwanja wa Seeb
0 comments:
Post a Comment