• HABARI MPYA

    Friday, January 17, 2014

    WACHEZAJI WA COASTAL UNION KATIKA CHAKULA CHA USIKU KWENYE KASRI LA MILIONEA ESRY OMAN

    Wachezaji wa Coastal Union ya Tanga, mshambuliaji Haruna Moshi 'Boban' kulia na kiungo Othman Abdallah 'Ustaadh' wakijipakulia chakula jumba la milionea Masoud Esry wa Oman, linalofahamika kama  Dream Farm mjini Muscat Oman usiku huu wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na ndugu wa familia hiyo, Salum Esry ambaye ni mwanachama wa klabu ya Coastal Union.
    Ulikuwa msosi mzuri
    Juma Said Nyosso kulia
    Salum Esry kulia
    Masoud Esry kulia na Shaaban Kado kushoto
    Khalid Esry kushoto na Shaaban Kado
    Kutoka kulia Marcus Ndeheli, Suleiman Kassim 'Selembe' na Haruna Moshi 'Boban'
    Wachezaji wa Coastal katika moja ya viunga vya nyumba hiyo,yenye wanyama wa aina mbalimbali kama farasi na ndege, bwawa la kuogelea, bustani na Uwanja wa kisasa wa Fustal  
    Uwanja wa Futsal
    Mabwawa ya kuogelea
    Wachezaji wa Coastal ndani ya kasri la Esry
    Kipa wa Coastal, Shaaban Kado akimlisha farasi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI WA COASTAL UNION KATIKA CHAKULA CHA USIKU KWENYE KASRI LA MILIONEA ESRY OMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top