• HABARI MPYA

    Saturday, February 15, 2014

    LOGARUSIC ALIPOWAVAA MAREFA LEO SOKOINE, ILIKUWA...

    Kocha wa Simba SC, Zdravko Logarusic leo aliwavaa marefa wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa nyuma kwa bao 1-0 la penalti dhidi ya Mbeya City na kuwaambia waache kuwapendelea wapinzani wao. Simba SC ilisawazisha bao kipindi cha pili na kupata sare ya 1-1
    Tendeni haki; Logarusic akiongea na mmoja wa marefa wa leo
    Makocha wote wa Simba SC wakimzonga refa wakati wa mapumziko

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LOGARUSIC ALIPOWAVAA MAREFA LEO SOKOINE, ILIKUWA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top