![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbya City, Hamad Kibopile |
![]() |
| Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwatoka wachezaji wa Mbeya City, Hassan Mwasapili na Anthony Matogolo kushoto |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Zahor Pazi akimtoka beki wa Mbeya City, Anthony Matogolo |
![]() |
| Kipa Mghana wa Simba SC, Yaw Berko akifurahia bao la kusawazisha la timu yake jana lililofungwa na Mrundi, Amisi Tambwe |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Mbeya City, Hamad Kibopile kulia na Deus Kaseke kushoto |
![]() |
| Beki wa Simba SC, William Lucian 'Gallas' akimtoka mchezaji wa Mbeya City |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC jana |
![]() |
| Kikosi cha Mbeya City jana |











.png)
0 comments:
Post a Comment