![]() |
| Mbwana Samatta akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Zainadine Junior kulia |
![]() |
| Mfungaji wa mabao ya Stars jana, Khamis Mcha 'Vialli' kulia akitia krosi |
![]() |
| Mshambuliaji wa Stars John Bocco 'Adebayor' alibaki yeye na kipa Dario Khan akashindwa kufunga |
![]() |
| John Bocco akiwatoka mabeki wa Msumbiji |
![]() |
| Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa akiwalamba chenga mabeki wa Msumbiji |
![]() |
| Beki wa Tanzania, Oscar Joshua kulia akipambana na Benedicto Bernedicto wa Msumbiji |
![]() |
| Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars akipiga krosi |
![]() |
| Kikosi cha Taifa Stars jana |
![]() |
| Kikosi cha Msumbiji jana |












.png)
0 comments:
Post a Comment