• HABARI MPYA

    Saturday, August 02, 2014

    SPURS YASAJILI BEKI LA SPORTING LISBON

    KLABU ya Tottenham imekamilisha usajili wa Pauni Milioni 4 wa mchezaji wa Sporting Lisbon, Eric Dier.
    Klabu hiyo ya Kaskazini mwa London imezipiga bao Newcastle na West Ham na kumtia ping ya miaka mitano Muingereza huyo katika jitihada za Mauricio Pochettino kuongeza nguvu kwenye safu yake ya ulinzi ambayo msimu uliopita iliruhsu mabao 51.
    Dier, akizungumza na tovuti ya Tottenham, amesema amefurahi kuhamia White Hart Lane msimu ujao: "Nimevutiwa haswa kujiunga na klabu kubwa kama hii katika Ligi Kuu England,".
    Enlarge 
    Kifaa kipya: Aliyekuwa mchezaji wa Sporting Lisbon, Eric Dier akiwa ameshika jezi yake timu yake mpya, Tottenham baada ya kukamilisha usajili
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YASAJILI BEKI LA SPORTING LISBON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top