Rais wa Bodi ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBO), Yassin Abdallah 'Ustadh' (kushoto), akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana kwa ajili ya pambano lake na Mtanzania, Mohamed Rashid Matumla litakalofanyika Machi 27, mwaka huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaa. Matikati ni Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania (PST) Emmanuel Mlundwa.
|
0 comments:
Post a Comment