![]()  | 
| Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akimtoka kungo wa Coastal Union, Joseph Mahundi kulia katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Azam FC ilishinda 1-0. | 
![]()  | 
| Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akimtoka beki wa Coastal Union | 
![]()  | 
| John Bocco akitafuta maarifa ya kumtoka Hamad Juma wa Coastal | 
![]()  | 
| Tumba Swedi wa Coastal kushoto akiwania mpira dhidi ya Didier Kavumbangu wa Azam FC | 
![]()  | 
| Mshambuliaji wa Coastal, Itubu Imbem akimiliki mpira mbele ya viungo wa Azam FC, Domayo na Himid Mao | 







.png)
0 comments:
Post a Comment