![]()  | 
| Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akimtoka beki wa Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mechi iliisha kwa sare ya 1-1. | 
![]()  | 
| Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Malawi | 
![]()  | 
| Haroun Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Malawi | 
![]()  | 
| Beki wa Tanzania, Aggrey Morris akimdhibiti mshambuliaji wa Malawi | 
![]()  | 
| Shomary Kapombe akitafuta maarifanya kumpita beki wa Malawi | 
![]()  | 
| Mwinyi Kazimoto akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Malawi | 








.png)
0 comments:
Post a Comment