KAPTENI KARAMA NYILAWILA 'ALIVYOMUONEA' DOGO TAMBA JANA
Bondia Karama Nyilawila kulia akimuadhibu mpinzani wake, Ibrahim Tamba katika pambano la uzito wa Super Middle usiku wa jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Karama alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya nane

Karama kushoto akimpiga 'vitasa' Tamba
Karama baada ya kumlaza chini Tamba raundi ya nane
0 comments:
Post a Comment