ASHRAF ALIVYOMLAZA 'KIFUDIFUDI' MKENYA JANA DIAMOND
Bondia Mtanzania, Ashraf Suleiman kulia akimuadhibu Mkenya Bernard Ardie katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Ashraf alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili
Ashraf akiuacha ulingo baada ya kumkalisha mpinzani wake
0 comments:
Post a Comment