JIBWA LA POLISI LILIPOGIDA MAJI YA UHAI JANA KIRUMBA
Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania, akimnywesha maji ya Uhai mbwa jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza wakati wa mchezo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Malawi. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Kwa utulivu kabisa askari akimmiminia maji mbwa wake Kirumba jana
0 comments:
Post a Comment