Mwanzo > HABARI PICHA > MWENYEKITI WA AZAM FC LEO ALIKUWA... HABARI PICHA MWENYEKITI WA AZAM FC LEO ALIKUWA... Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad akifuatilia kwa makini mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo. Azam FC ilishinda 1-0. Sunday, March 22, 2015 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment