• HABARI MPYA

    Monday, May 04, 2015

    KHADIJA KOPA 'AGONGA' MIAKA 52 LEO, MZEE YUSSUF AMBEBA MGONGONI

    Mwanamuziki Mzee Yussuf akiwa amembeba mwimbaji mwenzake wa taarab, Khadija Kopa katika hoteli ya Double Tree By Hilton, Masaki, Dar es Salaam leo wakati wa semina ya wanamuziki walioteuliwa kuwania tuzo za muziki Tanzania 2015, maarufu kama tuzo za Kili. Mzee alimbeba Khadija kumpongeza kwa kutimiza miaka 52 leo, huku Dayna Nyange (kulia) akimuimbia wimbo wa kumpongeza kuzaliw akwake.
    Dayna Nyange akimbusu Khadija Kopa kumpongeza kwa kutimiza miaka 52 leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KHADIJA KOPA 'AGONGA' MIAKA 52 LEO, MZEE YUSSUF AMBEBA MGONGONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top