![]() |
| Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi katika bwawa la kuogelea makao makuu ya klabu yao, Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam asubuhi ya leo. |
![]() |
| Kocha Msaidizi wa Azam FC, Mario Marinica kutoka Romania (kulia) akiwapa maelekezo wachezaji wakati wa mazoezi ya kwenye bwawa la kuogelea asubuhi ya leo |
![]() |
| Mshambuliaji Mrundi Didier Kavumbangu akiwa kwenye bwawa la kuogelea |
![]() |
| Kiungo Himid Mao akionyesha umahiri wa kupasua 'mawimbi' |
![]() |
| Kiungo Omar Wayne akiruka juu kuingia kwenye bwawa |
![]() |
| Beki Said Mourad akipiga pushapu katika mazoezi ya awali ya viungo uwanjani |
![]() |
| Mario Marinica akiongoza mazoezi ya viungo asubuhi ya leo |









.png)
0 comments:
Post a Comment