HAMISI KIIZA APOKEWA 'KIFALME' SIMBA SC, AIBUKIA KWENYE GARI LA WAZI JUU
Mshambuiaji wa zamani wa Yanga SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akiwapungia mkono kutoka kwenye gari mashabiki wa Simba SC Uwanja wa TCC Chang'ombe baada ya kusiani Mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru kujiunga na Wekundu wa Msimbazi.
Mashabiki wa Simba SC walimfurahia mno Kiiza leo
Kiiza akipiga hesabu zake kabla ya kuteremka kwenye gari TCC leo
0 comments:
Post a Comment