Nyota wa zamani wa Manchester United, Angel Di Maria akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili PSG dakika za 18 na 81 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Bordeaux na kutinga fainali ya Kombe la Ufaransa usiku wa jana. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika za 60 na 74 wakati la Bordeaux lilifungwa na Diego Rolan dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment