Andreas Weimann akimzunguka kipa Loris Karius kuifungia bao la pili Wolves dakika ya 41 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Raundi ya nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Anfield. Bao la kwanza la Wolves lilifungwa na Richard Stearman dakika ya kwanza, wakati la Liverpool lilifungwa na Divock Origi dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Where to watch Dallas Wings vs. Indiana Fever: Live stream, start time, TV
channel for Saturday, May 9
-
Caitlin Clark and the Fever open the season against the Wings.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment