Danny Welbeck akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 15 na 22 katika ushindi wa 5-0 wa Arsenal dhidi ya wenyeji Southampton leo Uwanja wa St Mary's kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Komb la FA England. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott dakika za 35, 69 na 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants trade Gold Glove catcher Patrick Bailey to Guardians
-
The San Francisco Giants traded Gold Glove winning catcher Patrick Bailey
to the Cleveland Guardians.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment