Roberto Firmino wa Liverpool akimiliki mpira mbele ya beki wa Southampton, Ryan Bertrand katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfileld. Southampton ilishinda 1-0, bao pekee la Shane Long na kuingia fainali ya kwanza ya Kombe tangu mwaka 2003. Southampton waliingia kwenye mchezo wa leo wakiwa wanangoza bao 1-0 baada ya ushindi wa nyumbani Uwanja wa St Mary's, bao pekee la Nathan Redmond PICHA ZAIDI GONHA HAPA
A cultural revolution? Trump’s America feels oddly familiar to those
watching from China
-
Demands of absolute loyalty and attacks on institutions have raise memories
of Mao-style chaos from US watchers in China
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment