Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akipiga mpira kichwa mbele ya beki wa Hull City, Michael Dawson usiku wa jana katika mchezo wa marudiano Nusu Fainali Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa KCOM. Hull City walishinda 2-1, lakini wametolewa kwa jumla ya mabao 3-2, baada ya kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza na United sasa itakutana na Southampton katika fainali Februari 26 Uwanja wa Wembley. Mabao ya Hull jana yalifungwa na Tom Huddlestone kwa penalti dakika ya 35 na Oumar Niasse dakika ya 85, wakati la United lilifungwa na Paul Pogba dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Boxing legend Floyd Mayweather Jr. sparks fury with comments on Israel
-
Weeks after a ceasefire agreement between Hamas militants from Gaza and
Israel's government, undefeated boxing legend Floyd Mayweather Jr. has now
entered ...
45 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment