Nahodha wa Simba, Jonas Mkude (kushoto) akiwa amejiinamia baada ya kufungwa 1-0 na Azam jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni beki Mzimbabwe Method Mwanjali
Kutoka kulia ni Mwanjali, kipa Daniel Agyei na Mkude
0 comments:
Post a Comment