Gabriel Jesus (katikati) na Roberto Firmino (kushoto) wakishangilia baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 wa Brazil dhidi ya Argentina kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Copa America Uwanja wa Governador Magalhaes Pinto, Belo Horizonte, Minas Gerais. Jesus alifunga dakika ya 19 na Firmino dakika ya 71 na kila mmoja alimpasia mwenzake kufunga na sasa Brazil itakutana na mshindi kati ya Chile na Peru zinazomenyana usiku wa kuamkia kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Centurion Pope has answered his critics - Cook
-
Alastair Cook believes Ollie Pope showed admirable control in his century,
as England reach 209-3 in the first Test.
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment