AZAM FC WAMTEMBELEA MGOMBEA UBUNGE WA CHALINZE (CCM) RIDHIWANI KIKWETE NA KUMKABIDHI JEZI
Meneja Masoko wa Azam FC, Tunga Ally, akimkabidhi zawadi za jezi halisi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete walipomtembelea leo jimboni kwake
0 comments:
Post a Comment