MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA
WINGA Mghana wa Simba SC ataukosa mchezo dhidi ya mahasimu na timu yake ya zamani, Yanga SC Novemba 7 baada ya kufungiwa mechi tatu kwa kumpiga ngumi beki wa Ruvu Shooting, Juma Said Nyosso.
Item Reviewed: MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment