SIMBA SC KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA MLANDEGE SC KESHO KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX
MABINGWA wa Ligi Kuu kwa miaka mitatu mfululizo, Simba SC kesho watakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ya Zanzibar kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment