WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI
Washambuliaji wakongwe wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu (kulia) na Nahodha, Mbwana Samatta wakiwa mazoezi ni kujiandaa kuivaa Burundi keshokutwa katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Beki wa Taifa Stars, Bakari Nondo Mwamnyeto akifanya mazoezi ya utimamu wa mwili kuelekea mechi na Burundi Jumapili
Item Reviewed: WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Davies back to lead Wales for crucial qualifiers
-
Tottenham defender Ben Davies returns from injury to lead Wales in their
final World Cup qualifying games against Liechtenstein and North Macedonia,
but Aa...
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment