OBREY CHIRWA ALIVYO FITI KUELEKEA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA GWAMBINA FC JUMATATU IJAYO
Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akijifua vikali kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Gwambina FC Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza
0 comments:
Post a Comment