MWANAMITINDO maarufu wa Kitanzania, Miriam Odemba akiwa na kocha maarufu Mfaransa, Arsene Wenger ambaye alójenla jina zaidi akiwa na klabu ya Arsenal kuanzia mwaka 1996 hadi 2018 kwenye ndege kwa pamoja wakitoka Doha, Qatar kwenda Ufaransa wanapoishi.
0 comments:
Post a Comment