PROMOTA maarufu wa ngumi za kulipwa Tanzania, Ally Suleiman 'Aurora' (pichani) amefariki dunia, imeelezwa.
Taarifa ambazo zimeifikia BIN ZUBEIRY kutoka kwa mmoja wa ndugu wa mmiliki huyo wa kampuni ya Aurora Security, zimethibitisha amefariki dunia. BIN ZUBEIRY itakuletea taarifa zaidi kuhusu msiba huo baadaye.

0 comments:
Post a Comment