• HABARI MPYA

    Sunday, October 06, 2013

    RONALDO AFUNGA DAKIKA YA MWISHO KABISAAA, BAO LA USHINDI REAL MADRID IKING'ARA LA LIGA

    IMEWEKWA OKTOBA 6, 2013 SAA 12:16 ASUBUHI
    MRENO Cristiano Ronaldo alipiga shuti lililobabatiza katika dakika nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimu kwa muda wa kawaida wa mchezo na kuipa Real Madrid ushindi wa 'aina yake' katika La Liga victory dhidi ya Levante usiku wa jana.
    Real ambayo ilimkosa nyota wa zamani wa Tottenham, Gareth Bale aliye majeruhi, ilipata mabao yake kupitia kwa Sergio Ramos dakika ya 61, Morata dakika ya 90 na Ronaldo dakika ya 94, wakati ya Levante yalifungwa na Diawara dakika ya 57 na El Zhar dakika ya 86
    Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Diego Lopez, Arbeloa, Varane, Sergio Ramos, Coentrao/Marcelo dk59, Modric, Khedira, Di Maria, Isco/Morata dk69, Ronaldo na Benzema/Jese dk78.
    Levante: Navas, Navarro, Rodas, Diawara/Barral dk78, Garcia/Pinto dk88, Juanfran, Xumetra/El Zhar dk68, Lopez, Ivanschitz, Diop na Simao Junior.
    Shirt off: Cristiano Ronaldo shows off his physique after scoring the winning goal in the dying seconds

    Lord of the dance: Ronaldo's celebration looked uncanny to dancer Michael Flatley (right)
    Lord of the dance: Ronaldo's celebration looked uncanny to dancer Michael Flatley (right)
    Lord of the dance: Ronaldo's celebration looked similar to famous dancer Michael Flatley (right). Flatley became 
    Scorers: Captain Sergio Ramos (above) scored Madrid's first leveller and Alvaro Morata (below) made it 2-2

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RONALDO AFUNGA DAKIKA YA MWISHO KABISAAA, BAO LA USHINDI REAL MADRID IKING'ARA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top