IMEWEKWA OKTOBA 6, 2013 SAA 12:25 ASUBUHI
MSHAMBULIAJI Luis Suarez aeipandisha Liverpool kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kufunga pamoja na mshambuliaji pacha wake, Daniel Sturridge katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Crystal Palace jana.
Suarez alifunga dakika ya 13, Sturrdige dakika ya 17 na bao la tatu likafungwa na Steven Gerrard dakika ya 38 kwa penalti, wakati la Crystal lilifungwa na Gayle dakika ya 76.
Kikosi cha Loverpool kilikuwa: Mignolet, Toure, Skrtel, Sakho/Agger dk66, Sterling, Gerrard, Henderson, Enrique, Moses/Alberto dk66, Suarez, Sturridge/Aspas dk88.
Crystal Palace: Speroni, Ward, Mariappa, Delaney, Moxey, Puncheon, O'Keefe, Jedinak, Kebe, Chamakh/Bolasie dk68 na Jerome/Gayle dk46.
Too hot to handle: Daniel Sturridge (left) is congratulated by Luis Suarez (right) after he doubled Liverpool's advantage
Unique: Suarez adjusted superbly to score the opener on the deck
Leading by example: Captain Steven Gerrard slots home his penalty
Unstoppable: Damien Delaney (second left) was turned inside out by Sturridge for his goal
Struggle: Palace defenders could do little to stop an in-form Suarez