• HABARI MPYA

    Friday, October 04, 2013

    SIMBA NA YANGA NANI JEMBE YAFANA ARUSHA

    IMEWEKWA OKTOBA 4, 2013 SAA 7:22 MCHANA
    Wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania kiwanda cha Arusha wakicheza fussball katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali 

    Simba na Yanga wakishindana kupuliza vuvuzela

    Mfanyakazi wa TBL Arusha, Christopher Kimonge ambaye ni shabiki wa Simba akishiriki kupiga vuvuzela katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali 
    Mfanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Arusha, Idrisa Athumani akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA NA YANGA NANI JEMBE YAFANA ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top