• HABARI MPYA

    Thursday, October 03, 2013

    UZINDUZI WA KAMPENI YA NANI MTANI JEMBE SIMBA NA YANGA ULIVYOFANA MWANZA

    IMEWEKWA OKTOBA 3, 2013 SAA9:25 ALASIRI
    Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishiriki kuvuta kamba katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)


    Mfanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza, Elipidius Benedicto akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    Mfanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza, Eric Manyirizu akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    Wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakicheza fussball katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    Wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishindana kupuliza vuvuzela katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    Shabiki wa Yanga akifurahia

    Makamu mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangare maarufu kama Mzee Kinesi akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mohammed Bhinda akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: UZINDUZI WA KAMPENI YA NANI MTANI JEMBE SIMBA NA YANGA ULIVYOFANA MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top