![]() |
Kutoka kulia Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Jerry Tegete wakifurahia mbele ya jukwaa la mashabiki wao |
![]() |
Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga kushoto akijiandaa kupiga krosi dhidi ya beki wa JKT Ruvu |
![]() |
Mrisho Ngassa akipambana na beki wa JKT Ruvu |
![]() |
Hamisi Kiiza 'Diego' akimlamba chenga beki wa JKT Ruvu |
![]() |
Jerry Tegete akijiandaa kupiga mpira kufunga bao la nne, baada ya kufanikiwa kumuacha beki wa JKT Ruvu |
![]() |
Jerry Tegete akiulinda mpira |
![]() |
Hatari kwenye lango la JKT Ruvu |
![]() |
Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
Kikosi cha JKT Ruvu |
0 comments:
Post a Comment