![]() |
Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Chombo 'Redondo' akimtoka beki wa AFC Leopard |
![]() |
Mabehewa, safari Kigoma mwisho wa Reli; Ramadhani Singano akiwatoka mabeki wa AFC Leopard, wa nyuma yake ni Mussa Mudde aliyewahi kuchezea Simba SC pia |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Uhuru Suleiman akigombea mpira na beki wa AFC Leopard |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimiliki mpira mbele ya Joseph Shikokoti wa AFC Leopard |
![]() |
Beki wa Simba SC akijiandaa kupiga krosi pembeni ya kiungo wa AFC Leopard, Oscar Kadenge kulia |
![]() |
Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Cesare Prandile akiwa ameshika mpira kabla ya kuudunda kuashiria ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Haroun Chanongo akimtoka beki wa AFC Leopard, Mussa Mudde |
![]() |
Kipa wa AFC Leopard, Martin Masalia akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe |
![]() |
Mussa Mudde kaanguka kushoto, Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba SC kulia na mchezaji mwenzake, Chombo Redondo anajiandaa kwenda kuchukua mpira bila upinzani |
![]() |
Kikosi cha Simba SC kilichowapa zawadi nzuri ya mwaka mpya mashabiki wake |
![]() |
Kikosi cha AFC Leopard |
![]() |
Prandile akisalimiana na Haroun Chanongo |
![]() |
Prandile akisalimiana na Awadh Juma, huku Singano naye akijiandaa kutoa mkono wake |
![]() |
Mpenzi maarufu wa Simba SC, Charles Hamkah alikuwepo pamoja na mkewe jukwaani |
![]() |
Simba SC 'Chama Kubwa'; Mashabiki Wazungu waliokuja kuishangilia Simba SC |
0 comments:
Post a Comment