• HABARI MPYA

    Saturday, February 15, 2014

    RASMI, NI YANGA NA AL AHLY AFRIKA, NGASSA APIGA HAT TRICK TENA JANGWANI WAKIUA 5-2 MORONI

    Mrisho Ngassa (kushoto) amefunga mabao matatu leo katika ushindi wa 5-2 wa Yanga dhidi wenyeji Komorozine mjini Moroni katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika. Mabao mengine ya Yanga yamefungwa nna Hamisi Kiiza kulia na Simon Msuva na sasa timu hiyo ya Dar es Salaam inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 12-2 baada ya awali kushinda 7-0, Ngassa akifunga hat trick pia na itamenyana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika Raundi ya Kwanza mwezi ujao.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASMI, NI YANGA NA AL AHLY AFRIKA, NGASSA APIGA HAT TRICK TENA JANGWANI WAKIUA 5-2 MORONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top