Mapokezi ya mabingwa: Wachezaji wa Ujerumani Schweinsteiger, Mertesacker, Neuer, Grosskreutz na Podolski wakiwaonyesha Kombe la Dunia mashabiki wakati wa mapokenzi leo baada ya kuwasili mjini Berlin kutoka Brazil. Ujerumani iliifunga 1-0 Argentina katika Fainali Jumapili.




Basi la Ujerumani likiwa limeandikwa miaka ambayo walitwaa Kombe la Dunia
Mesut Ozil (wa pili kushoto), Ron-Robert Zieler, Erik Durm, Mats Hummels, Shkodran Mustafi na Roman Weidenfeller wakipungia mashabiki
Ozil, Benedikt Hoewedes na Per Mertesacker kwenye gari
0 comments:
Post a Comment