• HABARI MPYA

    Saturday, July 05, 2014

    VIDIC AJUTA KUCHELEWA INTER MILAN

    ALIYEKUWA Nahodha wa Manchester United, Nemanja Vidic anahamia kwenye changamoto nyingine za soka katika Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A.
    Beki huyo wa Serbia ametambulishwa mbele ya vyombo vya Habari Ijumaa baada ya kujiunga na Inter Milan kama mchezaji huru baada ya kupiga kazi kwa misimu minane Old Trafford.
    "Ningewasili Italia miaka mini iliyopita,"amesema Vidic. "Hatimaye nina fursa ya kucheza hapa,"amesema beki huyo mwenye umri wa miaka 32 aliyesaini Mkataba wa miaka mitatu naq Nerazzurri.
    Ndoto zimetimia: Vidic (katikati) akionyesha furaha yake ya kujiunga na vigogo hao wa Serie A katika Mkutano na Waandishi wa HabariNew colours: Nemanja Vidic goes through his paces in a training session for his new team, Inter Milan
    Rangi mpya: Nemanja Vidic akiwa kwenye mazoezi ya Inter Milan
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIDIC AJUTA KUCHELEWA INTER MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top