MECHI ya kwanza ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2014 baina ya ES Setif ya Algeria na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iliyopangwa kuchezwa Jumamosi ya Septemba mwaka huu Saa 4:00 usiku kwa saa za Algeria mjini itachezwa bila mashabiki.
Uamuzi huo umechukuliwa na Kamati ya Maandalizi ya michuano ya klabu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) katika kikao chake cha leo mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Uamuzi huo, unafuatia Kamati ya Nidhamu ya CAF kupokea taarifa za kujirudia za matukio ya vurugu za mashabiki wa ES Setif, yaliyokuwa yakiripitiwa na waamuzi wakati wa mechi za makundi za michuano hiyo mwaka huu.

0 comments:
Post a Comment