• HABARI MPYA

    Wednesday, May 06, 2015

    SUPER DANGER NA MABINTI WAKE WAKIKAMUA KEKO JANA

    Kiongozi wa kikundi cha Kanyaga Twende, Danger Boy akiimba na wasanii wake, Maureen kulia na Lightness kushoto katika ukumbi wa Kings Palace, Keko, Dar es Salaam usiku wa jana. Danger hutumbuiza na mabindi wake hapo kila siku.
    Kutoka kulia ni Maureen, Happy, Super Danger,  Light na Queen Onesta wakifanya yao Kings Palace jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUPER DANGER NA MABINTI WAKE WAKIKAMUA KEKO JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top