• HABARI MPYA

    Sunday, July 19, 2015

    MALAKIA YAWACHAPA WAHABESHI 2-1 TAIFA KOMBE LA KAGAME

    Beki wa Adama City ya Ethiopia, Wendosen Milkesa (kulia) akimtoka beki wa Malakia ya Sudan Kusini, David Dada Stephen katika mchezo wa Kundi C Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Malakia imeshinda 2-1.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALAKIA YAWACHAPA WAHABESHI 2-1 TAIFA KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top