YANGA SC WAJIFUA KAUNDA MAANDALIZI YA MECHI YA NGAO DHIDI YA AZAM FC
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini Uwanja wa Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam jana kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii Jumamosi Uwanja wa dhidi ya Azam FC.
Wahezaji wa Yanga SC wakijifua Kaunda jana
Winga Godfrey Mwashiuya kulia na Deus Kaseke kushoto
0 comments:
Post a Comment