• HABARI MPYA

    Saturday, September 19, 2015

    BERAHINO AFUNGA BAO PEKEE WEST BROM YAICHAPA 1-0 ASTON VILLA

    Mshambuliaji mwenye asili ya Burundi, Saido Berahino akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Bromwich Albion ikishinda 1-0 ugenini katika mechi ya mahasimu wa Midlands Uwanja wa Villa Park leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BERAHINO AFUNGA BAO PEKEE WEST BROM YAICHAPA 1-0 ASTON VILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top